Category: MCHANGANYIKO
Mwakinyo bingwa mpya wa WBO Afrika
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Zanzibar Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo amefanikiwa Kuubakisha mkanda wa WBO Afrika nchini kwa kumchapa ‘KO’ mwanajeshi wa Ghana, Elvis Ahorgah.. Mwakinyo ambaye amecheza Usiku wa Kuamkia Leo Visiwani Zanzibar, ameibuka na ushindi huo baada ya mghana…
Zanzibar, China kushirikiana katika uchumi wa buluu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Naibu Waziri wa Maliasili wa China Sun Shuxian na ujumbe wake Ikulu Zanzibar tarehe: 28 Januari 2024. Aidha Rais Dk.Mwinyi ameishukuru Serikali ya China kwa misaada…
Dk Biteko ashiriki misa kuweka wakfu askofu mteule Mwijage mkoani Kagera
Leo Januari 27, 2023 Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko anashiriki Misa Takatifu ya kuwekwa Wakfu na Kusimikwa kwa Askofu Mteule Jovitus Francis Mwijage katika Jimbo Katoliki Bukoba mkoani Kagera. Sherehe zinafanyika katika Uwanja wa Kaitaba,…
Taharuki kujiuzulu Waziri Simai
· Wengi washangazwa, wasema ni mchapakazi hodari anayejua kazi yake Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, ¹Zanzibar WAZIRI wa Utalii na Mambo ya Kale wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Simai Mohamed Said, ametangaza kujiuzulu kwa kile alichokisema, mazingira tatanishi ya kazi na…
Kinara wa uuzaji dawa za kulevya nchini adakwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mfanyabiashara kinara wa mtandao wa kuuza dawa za kulevya aina ya Cocaine nchini amekamatwa na jumla ya gramu 692.336 za dawa hizo zinazohusisha watuhumiwa wengine wanne katika oparesheni maalumu zinazoendelea nchini. Hayo yameelezwa…
Watuhumiwa 10 wa mauaji ya mlinzi wakamatwa Mwanza
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa kumi wa mauaji ya Yumen Elias (54) aliekuwa mlinzi katika eneo la Mwananchi lililopo Kata ya Mahina Wilaya ya Nyamagana na mkazi wa Nyashishi aliyeuwawa kwa kukatwa…