JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Vikundi vya wajasiriamalia vyanufaika na mitaji wezeshi ya CRDB mil. 101.6/-

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Ludewa • Waziri Chana afungua mafunzo kuwawezesha kukuza mitaji Vikundi nane vya Wajasiriamali kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa vimenufaika na mtaji wezeshi kutoka Benki ya CRDB kiasi cha shilingi milioni 101.6 kwa ajili ya kuimarisha…

Rais Samia amedhamiria kuifungua Kigoma – Dk Biteko

📌Barabara ya Kakonko hadi mpaka wa Burundi kujengwa kwa lami 📌 Atembelea Hospitali ya Wilaya Kakonko 📌Ahimiza wananchi kuendelea kufanyakazi kwa bidii 📌 Kakonko yazalisha chakula ziada tani 81,000 Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu…

EWURA : Marufuku kuunganisha umeme majumbani kama huna leseni

Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya Magharibi imewataka mafundi na wataalamu wa umeme kufanya kazi zao kwa weledi mkubwa ili kuepusha hitilafu zinazoweza kusababisha athari na uharibifu. Rai hiyo…

Rais Mstaafu Kikwete atoa mafunzo kwa mawaziri wa afya, elimu Marekani

Rais Mstaafu wa Jmhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho, yuko mjini Boston, Marekani ambapo anashiriki katika kutoa mafunzo kwa Mawaziri wa Afya na Elimu kutoka nchi mbalimbali zinazoendelea kupitia Mpango wa Uongozi wa Harvard  (Harvard Ministerial Leadership Program)  inayoendeshwa na…

Akutwa ameuawa porini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Mtu mmoja aliyehamika kwa jina la Costa Clemence, 22, mkazi wa kijiji cha Maseyu kata ya Gwata Wilaya ya Morogoro mkoani Morogoro amekutwa amefariki dunia na mwili ukiwa umetelekezwa porini katika kijiji hicho. Kamanda wa…