Category: MCHANGANYIKO
Kapinga ahamasisha wananchi Mbinga kujisajili Daftari la Wapiga Kura
📌 Awaasa kuchagua viongozi watakaowatumikia kwa weledi Naibu Waziri Nishati na Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa, Mhe. Judith Kapinga amewahamasisha wananchi katika Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma kujitokeza kwa wingi katika zoezi la kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la…
Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson afungua Mkutano wa Mabunge Duniani Uswisi
Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 14 Oktoba, 2024 amefungua rasmi Mkutano Mkuu wa 149 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) uliofanyika katika Kituo…
Rais Samia awasihi wananchi kushiriki Uchaguzi Serikali za Mitaa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa wito kwa wananchi wote wenye sifa kuhakikisha wanashiriki katika uchaguzi muhimu wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 27 Novemba, 2024. Rais Samia amesema kuwa uchaguzi huo utatoa…
Msimu wa pili wa mashindano ya kuogelea kitaifa yafanyika Dar
Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mashindano ya mchezo wa kuogelea kwa wale wenye mahitaji maalumu yaendeshwa kwa mara pili jijini Dar es Salaam. Mashindano hayo yalifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita siku ya jumamosi ya oktoba 12 mwaka huu…
Rais ashiriki kilele cha mbio za mwenge
Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru 2024 kimefanyika leo, Oktoba 14, 2024, katika Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Hafla hiyo imehudhuriwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye alikabidhiwa Mwenge wa Uhuru na…





