Category: MCHANGANYIKO
Waziri Mkuu apokea mil.10 za maafa Katesh
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea mchango wa shilingi milioni 10 kutoka kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania , Sheikh Dkt. Alhad Issa Salum (kulia) na Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo, Dkt. Mhasa Ole Gabriel kwa ajili…
RC Chalamila apongeza Kampuni ya Derm Group
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ametoa pongezi hizo katika sherehe za miaka 25 ya mafanikio ya Kampuni hiyo toka kuanzishwa kwake, hafla iliyofanyika Desemba 16,2023 katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Ilala jijini Dar es Salaam. Akiongea…
Serikali kuunganisha mashirika 16, kufuta manne
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali imeekeza kuunganishwa mashirika na taasisi 16 na kufuta mengine manne yaliyokuwa chini ya Msajili wa Hazina ili kuongeza ufanisi wa utendaji kazi. Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango…
Serikali ipo mbioni kutengeneza mfumo wa taarifa za soko la ajira
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma SERIKALI ipo mbioni kutengeneza mfumo wa kitaifa wa kielekroniki wa Taarifa za soko la ajira utakaogharimu kiasi cha shilingi milioni 346.9 kwa ajili ya kuwezesha ukusanyaji wa taarifa kuanzia ngazi ya Wilaya hadi Taifa. Hatua hiyo imelenga…