Category: MCHANGANYIKO
Kongwa kuwa kituo cha urithi wa taifa
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Serikali kupitia Ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Kongwa mkoani hapa imesema ina mpango wa kuboresha miundombinu katika maeneo ya kihistoria wilayani hapo ili kuwa moja ya sehemu zitakazovutia watalii. Hayo yameelezwa mwishoni mwa wiki na Mkuu…
Dk Biteko atunuku vyeti kwa wahitimu 439 Chuo cha Mweka
📌 Awataka kuchukia rushwa na kulinda Maliasili kwa Wivu Mkubwa 📌Apongeza Wizara ya Maliasili na Utalii kwa usimamizi wa Sekta Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kilimanjaro Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametunuku vyeti vya ngazi…
Dk Biteko akutana na balozi wa China nchini Tanzania
✅Akaribisha kampuni za China kuwekeza Sekta ya Nishati na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dkt. Doto Biteko, leo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe. Chen Mingjian ambapo walizungumza masuala mbalimbali…
TAMWA Zanzibar yakemea udhalilishaji wa watoto kupitia mitandao ya kijamii
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania Zanzibar (TAMWA –ZNZ) kinaiasa jamii kujizuia kurekodi watoto wadogo na kuwaweka katika mitandao baada ya kufanyiwa vitendo vya udhalilishaji kwani kufanya hivyo ni kuwadhalilisha zaidi. Dkt. Mzuri Issa, ni mkurungenzi…