Category: MCHANGANYIKO
Naibu Waziri Marryprisca awataka wamanchi kutunza vyanzo vya maji
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Namtumbo NAIBU Waziri wa Maji Mhandisi Marryprisca Mahundi ambaye pia ni Mbunge wa viti maalum kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), amewataka wananchi kutunza vyanzo vya maji na amewaonya baadhi ya watu wanaojihusisha na uharibifu wa mazingira…
Al-Shabab kuondolewa Somalia
Rais wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamud amesema taifa hilo lina muda wa mwaka mmoja kuliondoa kundi la wanamgambo wa Al-Shabaab Agizo hilo limekuja huku muda wa mwisho wa wanajeshi waliosalia wa kulinda amani wa Umoja wa Afrika kuondoka ukikaribia mwezi…
Wizara yazinadi leseni 441 za utafutaji madini
Miradi ya STAMICO yatajwa London Wizara ya Madini imezinadi Leseni zipatazo 441 za utafutaji wa madini muhimu na mkakati na leseni 46 kwa ajili ya uchimbaji wa madini hayo ambazo ni fursa kwa wawekezaji kwa ajili ya kuingia ubia na…
Serikali yamwaga vifaa tiba vya milioni 222.472/- Singida
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Singida SERIKALI ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia Bohari ya Dawa (MSD) imekabidhi vifaa tiba Mkoa wa Singida vyenye jumla ya takribani Sh.Milioni 222.472. Vifaa hivyo ni pamoja na majenereta,…
RC Chalamila aridhishwa na ujenzi wa shule ya sekondari ya Mvuti
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo Novemba 20, 2023 amefanya ziara kukagua ujenzi wa shule ya sekondari Mvuti iliyopo kata ya Msongola-Ilala na kupongeza ujenzi huo wa kisasa. Mhe….