Category: MCHANGANYIKO
Rais Samia apokelewa na gwaride maalum Zimbabwe
Na Stella Aron, JamhuriMedia, Zimbabwe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili kwenye uwanja wa ndege wa Robert Mugabe jijini Harare nchini Zimbabwe na ndege ya Shirika la Ndege la ATCL kuhudhuria Mkutano wa 44…
TCB kushirikiana na Bunge kuwainua wajasiriamali nchini
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMediaDar es Salaam Katika jitihada za kuimarisha ushirikiano baina ya taasisi za kifedha na mihimili ya Serikali, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB), Bw. Adam Mihayo, amemtembelea na kuzungumza na Spika wa Bunge la Tanzania, Mheshimiwa…
TMX : Tumeanza msimu wa korosho 2024/2025
Afisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Bidhaa Tanzania – TMX Godfrey Marekano ameeleza kuwa maandalizi ya uuzaji na uunuzi wa Korosho msimu 2024/25 yameanza na yanaendelea vizuri. Marekano amesema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari Ofisini kwake Jijini Dar…





