JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

NIRC yahimiza wahandisi kusajiliwa, w8aendane na kasi ya uwekezaji wa Rais Samia

NiRC Dodoma TUME ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) imesema kutokana na uwekezaji mkubwa alioufanya Rais Dk.Samia Suluhu Hassan katika miradi ya umwagiliaji ni muhimu wahandisi wa taasisi hiyo kusajiliwa. Lengo ni kuhakikisha wanaosimamia miradi hiyo wanakidhi vigezo na wanatambua wajibu…

Meneja TRA Kibondo akamatwa na meno ya tembo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kigoma Jeshi la Polisi Wilaya ya Kibondo Mkoa wa Kigoma linamshikilia Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Wilayani humo Irving Mutegeki kwa tuhuma za kukutwa na meno ya Tembo. Mutegeki Bagasheki amekamatwa na nyara hizo…

Serikali itaendelea kusimamia, kukuza uadilifu wa maadili – Dk Biteko

📌Azitaka taasisi za dini kushirikisha Serikali kusimamia maadili 📌Wizara ya Maendeleo ya Jamii Shirikisheni wadau 📌Azitaka taasisi za umma na Serikali kuwa mfano bora kwenye jamii kuhusu maadili 📌Asisitiza maadili kupewa kipaumbele katika Mtaala wa Elimu Na Ofisi ya Naibu…

Maonesho ya Sabasaba yatumike kunadi fursa zilizopo sekta ya madini – Dk Mwasse

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mtendaji Mkuu Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) Dkt. Venance Mwasse amesema kuwa Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF) maarufu kama Sabasaba ni fursa ya kunadi fursa…

Mhagama: Ofisi ya Waziri Mkuu yajipanga kuendelea kuhudumia wananchi

*Amewataka watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu kuendelea kuhudumia wananchi kwa weledi Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Dar es Salaam Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu imesema itaendelea kuwahudumia wananchi na kuhakikisha wanapata huduma bora na kwa wakati unaotakiwa kwa lengo la…

Vijiji vyote Tanzania Bara kufikiwa na nishati ya umeme – Kapinga

📌 Kata ya Buganzo wilayani Kahama kufikishiwa umeme kabla ya tarehe 5 Julai 📌 Mbunge wa Msalala aishukuru Serikali Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Kahama Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga ameeleza kuwa, Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini ( REA) inatekeleza…