JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Wanafunzi wa darasa la nne 1,582,140 kufanya mitihani Oktoba 22 hadi 23

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMediaDar es Salaam Jumla ya shule 20,517 Wanafunzi wa Darasa la nne Waliosajiliwa Mwaka huu 1,582,140 wanatarajia kufanya Mtihani wa Upimaji wa kitaifa Oktoba 22 hadi 23,2025 ambapo kati ya hao wavulana 764,290 Sawa na asilimia 48.31 huku…

Tarimba: Samia ametufanyia makubwa ndani ya Kinondoni

Mgombea ubunge Jimbo la Kinondoni,Dar es Salaam, Tarimba Abbas Tarimba amesema ndani ya miaka minne jimbo hilo limepata maendeleo makubwa kutokana na kazi nzuri iliyofanywa na Rais Samia Suluhu. Tarimba ametoa kauli hiyo alipopewa nafasi ya kusalimia maelfu ya wananchi…

Kambi ya maalum ya matibabu ya moyo yawafanyia upasuaji watoto tisa Dar

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Watoto tisa wenye matatizo ya moyo ya kuzaliwa nayo wamefanyiwa upasuaji wa moyo kwa mafanikio kwenye kambi maalumu ya matibabu ya siku mbili iliyomalizika hivi karibuni katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)…

Mgeja: Elimu ya amani, uzalendo na mazingira ifundishwe shuleni

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kahama MWENYEKITI wa Tanzania Mzalendo Foundation Bw. Khamis Mgeja ameishauri na kuiomba wizara ya elimu nchini ifikilie kuona umuhimu namna gani ya kuweza kuanzisha masomo ya aman, Uzalendo na mazingira mashuleni kuanzia madarasa ya awali mpaka…

Viongozi wa dini wahimiza Watanzania kupiga kura, amani

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza VIONGOZI wa dini mbalimbali mkoani Mwanza, wametoa wito kwa Watanzania kujitokeza kupiga kura kwa wingi katika Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani, uliopangwa kufanyika Oktoba 29, mwaka huu. Kadhalika katika kongamano la Amani la…

Wadau wakutana kujadili nafasi ya mbegu za wakulima kwenye Itifaki ya Eneo Huru la Biashara Africa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro WADAU kutoka serikalini, mashirika ya kiraia na wakulima wamekutana mkoani Morogoro kujadiliana kuhusu nafasi ya mbegu za wakulima kwenye Itifaki ya Eneo Huru la Biashara Africa (AfCFTA). Akifungua mkutano huo Mratibu wa Mtandao wa Baionuai…