Category: MCHANGANYIKO
Rais Samia ateua viongozi mbalimbali
Rais Samia Suluhu Hassan ameteua wenyeviti wa bodi mbalimbali na watendaji katika taasisi mbalimbali hapa nchini. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Oktoba 22, 2022 na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Zuhura Yunus imesema kuwa ameteua wenye viti wa…
Mabula:Rais Samia ameondoa mfumo dume, wanawake mjiamini
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi Dkt. Angeline Mabula amewataka wanawake kujiamini na kutumia fursa mbalimbali zinazowazunguka ili kujiimarisha kiuchumi badala ya kuendelea kulalamika kukwamishwa na mfumo dume. Waziri Dkt. Mabula ameyasema hayo Oktoba 16, 2022 jijini Mwanza wakati akifungua…
Serengeti girls waendelea kujifua kuikabili Ufaransa
Timu ya Taifa ya Wasichana chini ya miaka 17 (Serengeti Girls) imeendelea na mazoezi Katika Uwanja wa Utorda Goa India. Serengeti Girls ilianza na mazoezi ya asubuhi katika fukwe zilizopo eneo la Utorda na baadae katika uwanja wa eneo hilo….
NHC kuanza kubomoa nyumba zilizochakaa Dar,
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Shirika la Nyumba (NHC),linatarajia kuanza kubomoa nyumba zilizochakaa katika maeneo ya Kariakoo na Posta jijini Dar es Salaam pamoja na kuendeleza viwanja 40 vilivyopo mkoani humo kikiwemo cha eneo iliyokuwa klabu ya Bilicanas. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi…