Category: MCHANGANYIKO
Simba Watinga Bungeni, Wabunge Wawashangilia
Timu ya Simba wametinga Bungeni jijini Dodoma leo baada ya kupata mwaliko wa Spika Job Ndugai. Mwenyekiti wa Bunge, aliyekuwa akiongoza kikao cha leo, Najma Giga, Naibu Waziri wa Tamisemi, Joseph Kakunda ndiye alianzisha shangwe za kuwapokea Simba bungeni kabla…
MAJALIWA:TUPO TAYARI KWA FAINALI ZA AFCON 2019
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ipo tayari kwa maandaalizi ya fainali za michuano ya Afrika ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 mwaka 2019. Mashindano ya mpira wa miguu kwa Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 AFCON…
SIMBA YABEBA KOMBA WAKIWA KWENYE VITI WAKIKUNYA NNE, BAADA YA YANGA KUFUNGWA 2-0 NA PRISONS
Simba wanakabidhiwa ubingwa wakiwa mjini Singida hata kabla ya kuivaa Singida katika mechi yao ya Ligi Kuu Bara, keshokutwa Jumamosi. Hii inatokana na waliokuwa mabingwa watetezi, Yanga kufungwa kwa mabao 2-0 dhidi ya Prisons kwenye Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya….
Sugu Ametolewa kwa Msamaha wa Rais Magufuli
Jeshi la Magereza limeeleza kuwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ pamoja na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Emmanuel Masonga wameachiliwa huru kwa msamaha wa Rais uliotolewa katika maadhimisho ya miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar….
Yanga Yachezea Kichapo cha Mbwa Mwizi Kutoka kwa USM Alger (4-0)
Kikosi cha Yanga kimeanza vibaya hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika katika hatua ya makundi kwa kukubali kichapo cha mabao 4-0 kutoka kwa USM Alger katika mchezo uliopigwa kwenye dimba la Julai 5 1962. Yanga iliyokuwa inawakosa nyota…