JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

TFF yazifungia Singida, Prisons

Klabu za Singida Big Stars na Tanzania Prisons zimefungiwa kufanya usajili wa wachezaji wapya kwa dirisha moja la usajili kwa kosa la kusajili wachezaji walio na mikataba na klabu nyingine.

Halotel yasherehekea miaka 7 ya utoaji huduma kwa kuchangia damu

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar Kampuni ya simu ya Halotel na wafanyakazi wake leo wameshiriki katika zoezi la kuchangia damu ikiwa ni sehemu ya kusheherekea na kuadhimisha miaka 7 ya kampuni na utoaji wa huduma za mawasiliano. Zoezi la kuchangia damu ni…

Ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kubaka mtoto

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Tabora Kulwa Paulo Chamkoko, mkazi wa mtaa wa Ghana Kata ya Kiloleni ,Manispaa ya Tabora amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumbaka mtoto wa miaka tisa. Adhabu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi…

Tanzania yajinadi kimataifa mkutano wa utalii UNWTO Arusha

Ikiwa ni siku ya Pili ya Mkutano wa Shirika la Umoja wa Matiafa la utalii Duniani UNWTO kanda ya Afrika unaofanyika jijini Arusha, Tanzania imetumia mkutano huo kutangaza vivutio mbalimbali ilivyonavyo ikiwa ni mkakati wa kufikia watalii milioni Tano ifikapo…

Kliniki ya matibabu ya moyo jioni ni fursa nyingine kwa Watanzania

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), imeanzisha kliniki ya matibabu ya moyo inayoanza saa kumi jioni hadi saa mbili usiku ili kutoa nafasi kwa wagonjwa walioshindwa kufika kliniki za asubini kupata huduma. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa…