JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Ufugaji wa Sungura watajwa kama fursa mpya ya kiuchumi kwa Watanzania

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam JAMII imeshauriwa kuchangamkia fursa ya ufugaji wa sungura kibiashara kutokana na soko lake linalozidi kukua nchini na faida lukuki za kiafya na kiuchumi zinazotokana na nyama yake na mazao mengine ya sungura. Akizungumza…

Wanasheria watakiwa kuongeza umakini kutoa ushauri wa sheria zinazohusu mazingira

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hamza S. Johari amewataka Wanasheria kuwa walinzi na kuongeza umakini katika kutoa ushauri wa sheria zinazohusu mazingira kwa maslahi ya taifa. Mwanasheria Mkuu wa Serikali ameyasema hayo tarehe 3 Septemba, 2025…

Serikali yapima na kugawa hati kata ya Pangani kupunguza migogoro ya ardhiI

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Serikali imeandaa hati 7,000, kupima na kutambua zaidi ya viwanja 18,000, pamoja na kugawa hati miliki kwa wananchi wa mitaa ya Pangani, Kidimu na Lumumba katika Kata ya Pangani, Wilaya ya Kibaha, mkoani Pwani. Mkuu…

Dk Nchimbi aagana na Simiyu, aelekea Shinyanga kusaka kura

Wananchi wa Mji Mdogo wa Lalago,Maswa Mashariki wilayani Maswa wakimsikiliza mgombea Mwenza wa Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi wakati akiwahutubia kwenye mkutano mdogo wa hadhara leo Jumatano Septemba 3,2025,wakati akimalizia mkutano wake wa mwisho…

Bei ya mafuta ya petroli kwa Septemba yashuka

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za mafuta zinazotumika kuanzia leo Septemba 3, 2025, zikionesha kupungua kwa kwa shilingi 36 kwa bei ya petroli na shilingi 23 kwa bei ya dizeli kwa mafuta…