JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

JKCI na ALMC waandika historia Maadhimisho ya Wauguzi Duniani Arusha

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Arusha Lutheran Medical Centre (ALMC) chini ya menejimenti ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) wamekuwa wadhamini wakuu wa Maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani yaliyofanyika jijini Arusha, yakihusisha shughuli mbalimbali za kijamii pamoja…

Baada ya nusu karne, Liganga na Mchuchuma sasa kuanza

Mazungumzo na Mwekezaji Yamefikia Zaidi ya Asilimia 90 Kuzalisha Tani Milioni 2.9 za Chuma Ghafi kwa Mwaka Kuzalisha Ajira Rasmi 6,500, Zisizo Rasmi 26,000 📍 Njombe Serikali ya Tanzania ndani ya kipindi cha Miezi Mitatu ijayo inatarajiwa kuanza rasmi utekelezaji…

Prof. Shemdoe asisiza suala la usafi liwe ajenda ya kudumu katika vikao vyote

Na OWM – TAMISEMI, Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amewasisitiza washiriki wa Mkutano wa Mwaka wa Tathmini ya Afua ya Uthibiti wa Taka Ngumu na Usafi…

Makongoro Nyerere ashinda Safari ya Kombe la Dunia 2026 Kupitia Kampeni ya CRDB Tembo Visa Card

Benki ya CRDB Bank Plc imeendesha droo ya pili ya kampeni yake ya FIFA World Cup 2026 – “Fainali Ndiyo Mpango na Tembo Card Visa”, ikiwapa wateja nafasi ya kujishindia safari ya kwenda kushuhudia fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika…