Category: MCHANGANYIKO
11 wafariki baada ya mtambo Kiwanda cha Mtibwa Sugar kulipuka
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Watu 11 wamefariki Dunia na wengine wawili kujeruhiwa baada kutokea kwa hitilafu kwenye mtambo wa mvuke wa kuzalisha umeme katika Kiwanda cha kuzalisha Sukari Mtibwa Sugar kilichopo Tuliani Wilayani Mvomero Mkoa wa Morogoro. Kamanda wa…
Tanzania, Msumbiji kuanzisha Jukwaa la Pamoja la Biashara
Mhe. Phaustine Kasike, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Msumbiji amekutana na Silvino Augusto JosĂ© Moreno, Waziri wa Viwanda na Biashara wa Jamhuri ya Msumbiji kwenye Ofisi ya Wizara hiyo Jijini Maputo. Katika mkutano huo, Viongozi hao wawili…
RC Chalamila awataka wafanyabiashara kulipa kodi kwa hiari na kutoa risiti
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka wafanyabiashara kulipa kodi kwa hiari bila shuruti pamoja na kutoa risiti za EFD. Vilevile, Chalamila amewaonya wafanyabiashara wanaotishia kugoma pale ambapo wanatakiwa kulipa…
FCS, Vodacom waingia mkataba wa mil.150/- kuelekea wiki ya AZAKI
Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Shirika la The Foundation for Civil Society (FCS), na Vodacom Tanzania Foundatio wamesaini makubaliano ya mkataba wa mwaka mmoja wenye thamani ya Shilingi milioni 150 ikiwa ni udhamini wa Wiki ya AZAKI 2024, itakayofanyika…
Balozi Nchimbi ataka maofisa utumishi kuacha uonevu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi amewataka watumishi wanaosimamia utawala na rasilimali watu sehemu za kazi kuwatendea haki wafanyakazi wote kwa kujiepusha na vitendo vyovyote vya uonevu. Akizungumza kwenye…
Watanzania watakiwa kuchangamkia fursa katika sekta ya madini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha WATANZANIA wametakiwa kuchangamkia fursa zilizopo katika uwekezaji katika Sekta ya Madini ili kuupiga jeki uchumi wa taifa kwa kutengeneza ajira na walipa kodi wapya. Hayo yamesemwa leo Mei 20, 2024 na Katibu Mtendaji wa Tume…