JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Sisi ACT- Wazalendo tumeichambua bajeti Wizara ya Afya, bado kuna tatizo la ufinyu wa bajeti – Dk Sanga

Waziri wa Afya Ummy Ali Mwalimu (Mb.), amewasilisha Bungeni mpango wa Wizara na makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2024/25 pamoja na maeneo ya kipaumbele ambayo wizara itajielekeza nayo kwa mwaka 2024 -2025. Sisi, ACT Wazalendo kupitia…

Bondia Sherif Lawal afariki baada ya kupigwa ngumi nzito

Bondia Sherif Lawal (29) amefariki dunia akiwa hospitali akipatiwa matibabu baada ya kupigwa ngumi iliyomuangusha chini katika pambano lake dhidi ya bondia kutoka Ureno Malam Varela, lililochezwa kwenye ukumbi wa Harrow Leisure Center siku ya Jumapili. Katika pambano hilo la…

Watu milioni 7 wanakabiliwa na uhaba wa chakula Sudan Kusini

UMOJA wa Mataifa umetahadharisha kuwa zaidi ya watu milioni saba Sudan Kusini watakabiliwa na uhaba wa chakula katika miezi ijayo. Takwimu hiyo iliyotolewa na Umoja wa Mataifa ni pamoja na maelfu ya wengine ambao hali yao inatajwa kufikia kiwango cha…

SMZ kushirikiana na GEL kupeleka wanafunzi nje ya nchi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar SMZ imesema itaendesha msako na kuzifutia usajili wa wakala wa elimu ya nje ambao wanafanya kazi zao kwa ubabaishaji na kuipongeza Global Education Link GEL kwa mchango mkubwa inaotoa kwenye sekta…

Serikali : Miliki ubunifu ni nyenzo muhimu katika kukuza uchumi, biashara nchini

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali imesema Miliki Ubunifu ni nyenzo muhimu katika kuendeleza na kukuza uchumi na biashara nchini. Hayo yameelezwa leo Mei 9, 2024 na Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamisi Mwinjuma wakati wa…