Category: MCHANGANYIKO
Majaliwa aiagiza Wizara ya Kilimo kukuza teknolojia za umwagiliaji nchini
NIRC:Dodoma Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kasim Majaliwa, amemuagiza Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Dkt.Gerald Mweli kuhakikisha kuwa Wizara hiyo, kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji, inashirikiana na sekta nyingine za umma ili kuhimiza matumizi ya teknojia…
Wizara ya Kilimo iziwezeshe taasisi kupata zana za kisasa – Waziri Mkuu
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Kilimo iweke utaratibu wa kuziwezesha taasisi zinazojihusisha na kilimo kwa kuzipatia zana za kisasa za kilimo ili kukuza sekta hiyo. Amesema kufanya hivyo kutasaidia kwa kiasi kikubwa kuongeza tija katika shughuli za kilimo…
Ubunge ni kazi ya watu – Dk Biteko
Dkt. Doto Mashaka Biteko leo Agosti 3, 2025 amefika kwa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wilaya kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kuwa mgombea wa nafasi ya ubunge wa jimbo la Bukombe ikiwa ni sehemu ya utambulisho wa wagombea wa udiwani na…
REA yatoa bilioni 4 kuzalisha umeme wa maji Lupali
Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imetoa kiasi cha shilingi bilioni 4.6 kwenye mradi wa kuzalisha umeme wa maji Lupali wenye uwezo wa kuzalisha kilowati 317 unaotekelezwa na shirika la Benedictine Sisters of St. Gertrud Convent Imiliwaha. Hayo yamebainishwa na Mjumbe…
Wizara ya Nishati na taasisi zake zashiriki maonesho ya kimataifa ya kilimo Dodoma
WIZARA YA NISHATI NA TAASISI ZAKE ZASHIRIKI MAONESHO YA KIMATAIFA YA KILIMO DODOMA Wizara ya Nishati na Taasisi zilizo chini yake zinashiriki Katika Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo ambayo yameanza Tarehe 1 Agosti Katika Viwanja Nzuguni Jijini Dodoma. Maonesho hayo…
Dk Biteko aomba kura ya ndiyo kwa wajumbe Bukombe
Mbunge wa Jimbo la Bukombe anayemaliza muda wake, Dkt. Doto Mashaka Biteko ambaye ameomba tena ridhaa ya kutetea kiti hicho, ameeleza furaha na shukrani aliyonayo kwa Wananchi wa Bukombe kufuatia ushirikiano waliompa katika kipindi cha miaka mitano iliyopita. @biteko Dkt….





