Category: MCHANGANYIKO
Mahakama yatupilia mbali shauri la kupinga Tume ya Uchunguzi ya Oktoba 29, 2025
Shauri la Mapitio Namba 32537 la 2025 la kupinga uundwaji wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea nchini wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025 lilifunguliwa Mahakama Kuu masjala ndogo ya Dar…
Masauni: Mpango kukijanisha nchi upo mbioni
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Serikali ipo mbioni kuanzisha Mpango wa Mageuzi ya Kijani utakaolenga kukijanisha Tanzania na kusafisha Mazingira ambao programu zake zitasambaa nchi nzima ikiwa moja ya njia ya kuhifadhi na utunzaji wa Mazingira. Waziri wa Nchi, Ofisi…
Hospitali ya Shifaa yazindua idara ya kisasa ya mfumo wa upumuaji
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam HOSPITALI ya Shifaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam imezindua Idara ya mfumo wa upumuaji inayotumia teknolojia ya hali ya juu kwa magonjwa yanayohusu mfumo upumuaji ambayo ni ya kisasa zaidi kwa hapa…
Mnyone ataka viongozi wa taasisi kuwa wabunifu kufanikisha Dira ya 2050
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha MKURUGENZI wa Sayansi, Teknolojia na Ubunifu kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Ladslaus Mnyone, amewataka viongozi wa taasisi mbalimbali kuwa wabunifu na kuonesha uongozi bora katika kutekeleza majukumu yao ili kusaidia kufanikisha malengo ya…
Rais Samia atoa bilioni 5.2 kuboresha Chuo cha Uhamiaji TRITA
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kilimanjaro Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imepeleka Kiasi cha Shilingi Bilioni 5.2 kwa Idara ya Uhamiaji ili kuboresha Chuo…
TARURA yakamilisha ujenzi barabara ya Eso – Longdon kwa kiwango cha lami Arusha
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Serikali kupitia Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imekamilisha ujenzi wa barabara ya Eso–Longdon yenye urefu wa kilomita 1.8 kwa kiwango cha lami katika Jiji la Arusha. Akizungumza wakati wa ziara ya kutembelea…





