Category: MCHANGANYIKO
RC Chalamila apokea Mwenge wa Uhuru 2024, miradi 39 kuzinduliwa
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo Mei 08, 2024 amepokea Mwenge wa Uhuru kutoka Mkoa wa Pwani katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwl JK Nyerere Terminal I. Akiongea wakati wa makabidhiano hayo RC Chalamila…
Bilioni 1.1/- za TANROADS zarejesha mawasiliano ya barabara, madaraja El Nino Katavi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Katavi Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) mkoani Katavi imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kufanya kazi ya matengenezo na kurejesha miundombinu ya barabara na madaraja yaliyosombwa na maji ya mafuriko ya mvua kubwa za El-nino zilizonyesha…
Kimbunga Hidaya chaua Lindi, wengine 80 waokolewa
Na Isri MohamedWatu wawili wameripotiwa kufariki dunia na wengine zaidi ya 80 kuokolewa wilayani Kilwa mkoani Lindi baada ya mvua kubwa iliyosababishwa na Kimbunga Hidaya kunyesha Mei 4, 2024 na kusababisha mafuriko. Mbali na kusababisha vifo, pia yamesomba madaraja na…
NECTA yatangaza kuanza mitihani kidato cha sita Mei 6, ualimu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam BARAZA la Taifa la mitihani (NECTA) limetangaza kuanza kwa mitihani ya kidato cha sita na Ualimu huku wakitoa rai kwa kamati za mitihani kuhakiksha usalama wa vituo vya mitihani unaimarishwa na vituo vinatumika…
WHO IS HUSSAIN yatoa misaada ya milioni 28/- kambi ya waathirika wa mafuriko Chumbi, Rufiji
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Rufiji MKUU wa wilaya ya Rufiji, Meja Edward Gowelle ametoa agizo kwa watu ambao bado wanaoishi kwenye maeneo yaliyozingirwa na maji ,mabondeni waondoke na kuhamia kwenye maeneo yaliyotengwa na Serikali kwa ajili ya usalama wao. Akipokea…
Madaktari bingwa 40 kutoa huduma hospitali zote za Halmashauri Ruvuma kwa siku tano
Na Albano Midelo, JamhuriMedia, Songea Huduma za mkoba za madaktari bingwa zinatarajia kuanza kutolewa katika hospitali za Halmashauri zote za Mkoa wa Ruvuma kuanzia Mei 6 hadi 10 mwaka huu. Mganga Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dk Louis Chomboko amesema…