Category: MCHANGANYIKO
Wanawake viongozi walaani kauli za uvunjifu wa amani
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam WANAWAKE Viongozi wa Vyama vya siasa nchini wamelaani kauli zinazotolewa na baadhi ya watu kuwa Taifa halina amani ambapo wamesema zinania ovu ya kuhatarisha usalama wa nchi. Akizungumza na waandishi wa habari leo…





