JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

‘Michakato ya miradi ya maendeleo iharakishwe’

Watendaji wa Halmashauri ya mji Nanyamba mkoani Mtwara wametakiwa kuharakisha michakato ya miradi mbalimbali ya maendeleo kwa wakati pindi wanapopata fursa ya miradi hiyo ili kuleta matokeo chanya kwa wananchi. Akizungumza wakati wa kukagua mradi wa ujenzi wa shule ya sekondari Mtimbwilimbwi…

Viongozi wanne hatiani kwa ubadhirifu fedha za urasimishaji makazi

Mnamo tarehe 05/07/2024 imetolewa hukumu ya kesi ya Jinai namba CC.386 /2024 na Hakimu Mkazi Mwandamizi Gloria Nkwera, katika shauri lililoendeshwa na Mawakili Waandamizi wa Serikali – Veronica Chimwanda na Fatuma Waziri ambapo Ahmed Waziri Msika na wenzake watatu walitiwa…

Gavana Bwanku awashauri waganga wa jadi kujiepusha na ramli chonganishi

📍Bukoba, Kagera Aongozana na mwenyekiti wa Machifu Mkoa wa Kagera Chifu Nyarubamba, watendaji wa Kata, Polisi Afisa Tarafa wa Tarafa ya Katerero iliyoko Wilaya ya Bukoba mkoani Kagera Bwanku M Bwanku leo Jumamosi Julai 13, 2024 amefanya kikao na waganga…

RC Chalamila : Serikali itaweka utaratibu mzuri kwa wafanyabiashara Simu 2000

-Awakutanisha DART, Manispaa ya Ubungo na Wafanyabishara wadogo.-Aeleza dhamira ya Serikali kutekeleza mradi huo-Asisitiza bado Serikali itaendelea kujali na kuweka mazingira rafiki kwa wafanyabiashara wadogo Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar ea Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert…

Rais Samia : Acheni kuvamia maeneo ya hifadhi

Na Happiness Shayo, KamhuriMedia, Katavi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi kuacha kuvunja sheria kwa kuvamia maeneo ya hifadhi na badala yake kutunza mazingira hayo. Kauli hiyo imekuja kutokana na maombi ya…