JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Dk Biteko azitaka TARURA, TANESCO kufikisha huduma zake Ngorongoro

📌Aipongeza TBC kwa maboresho makubwa ya miundombinu 📌Usikivu wa radio za TBC kufikia asilimia 92 Mwaka 2024/2025 📌Asisitiza maamuzi sahihi uchaguzi Serikali za Mitaa 📌Waziri Nape asisitiza umuhimu Mawasiliano kwa jamii 📌Asema Watanzania wanasimama na Rais Samia Naibu Waziri Mkuu…

Serikali hutenga milioni 250 kupitia TBS kuwahudumia wajasiriamali wadogo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali hutenga shilingi milioni 250 kwa ajili ya wahudumia wajasiriamali wadogo nchini bila malipo yoyote kupitia Shirika la Viwango Tanzania (TBS). Hayo yamebainishwa leo Aprii 15,2024 jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mkuu…

TAKUKURU, ZAECA kuimarisha ushirikiano mapambano dhidi ya rushwa

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma Katika kipindi cha miaka 60 ya Muungano, kwa kuzingatia awamu zote zilizopita na hii inayoongozwa na Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Serikali inaendelea kutekeleza jitihada za kuzuia na kupambana na rushwa ili wananchi waweze kupata huduma…

Ripoti ya CAG yabaini madudu TTCL, ATCL na TRC

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za serikali kwa mwaka 2022/2023 imeonesha mashirika ya umma 34 yaliripotihasara au nakisi kwa miaka miwili mfululizo ambapo mashirika haya yalijumuisha mashirika yanayojiendesha kibiashara 11 na mashirika yasiyo…

‘Uharibifu wa barabara Dar uliotokana na mvua Serikali yajipanga’

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema mvua nyingi zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya mkoa ambayo imesababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu ya barabara, Serikali haijalala iko imara hivi karibuni…