Category: MCHANGANYIKO
DK. Mpango aweka jiwe la msingi ujenzi wa daraja la mto Hurui
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Daraja la mto Hurui lililopo kata ya Kikore Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma huku akiwahimiza wananchi wa kata…
Wakili Mbedule apiga ‘Jeki’ Halmashauri ya Iringa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Iringa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa imepata msaada wa vifaa vya michezo kutoka kwa Wakili wa kujitegemea na mdau wa maendeleo, Jimbo la Kalenga, Sosten Mbedule ambaye ametoa seti sita za vifaa vya michezo na mipira…
Rais mstaafu Kikwete akutana na Makamu wa Rais Nigeria jiini Abuja
ABUJA, Nigeria – Agosti 21, 2024 – Makamu wa Rais wa Nigeria Mhe. Kashim Shettima ametoa wito wa kuimarisha ushirikiano kati ya Nigeria na Tanzania, akisisitiza umuhimu wa ujumuishaji wa kikanda na juhudi za pamoja ili kufanikisha ukuaji na umoja…
TLS yaitaka Polisi kumfikisha mahakamani afande aliyeagiza binti Yombo abakwe
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Chama cha Wanasheria Tanzania (TLS), kimelitaka Jeshi la Polisi kuhakikisha mtuhumiwa mkuu aliyesababisha tukio la kubakwa na kulawitiwa kwa binti wa Yombo anafikishwa mahakamani upesi ili haki ipatikane. Akizungumza na vyombo vya habari…
Waziri Mhagama akabidhi ofisi kwa Waziri Lukuvi
Na Mwandishi Wetu JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Afya Jenista Mhagama ameahidi kuendelea kutoa ushirikiano kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) Mhe. William Lukuvi katika maeneo ambayo atahitaji kupata taarifa za ziada wakati wa kuratibu…
Ridhiwani Kikwete anogesha bonanza la NMB Day Kizimkazi Festival 2024
Na. Andrew Chale, JamhuriMesia, Zanzibar Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwan Kikwete ambaye alikuwa mgeni rasmi ameweza kunogesha Bonanza la NMB DAY katika Tamasha la Kizimkazi 2024, linaloendelea katika maeneo ya…





