JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Salfa mbovu ya Makonde pasua kichwa

Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Nani aliruhusu Kampuni ya Makonde kusambaza viuatilifu feki aina ya salfa  kwa wakulima wa korosho Mtwara? Hili linabaki kuwa miongoni mwa maswali magumu; JAMHURI linaripoti. Japokuwa mamlaka zinamshikilia mmoja wa wakurugenzi wa Kampuni ya…

Kosa la Lissu, Kosa la Maalim Seif

LONDON Na Ezekiel Kamwaga Samuel Huntington, pengine mchambuzi mahiri zaidi wa siasa za Marekani katika karne iliyopita, alipata kuwa mhadhiri katika Chuo Kikuu mashuhuri cha Harvard nchini humo.  Mmoja wa wanafunzi wake alikuwa Fareed Zakaria na anakumbuka somo moja kubwa…

Unachukuaje fedha zilizoachwa  na marehemu kwenye simu?

Na Bashir Yakub Leo tunaangalia namna ya kufanya ili uweze kuchukua fedha zilizoachwa kwenye akaunti ya simu na ndugu yako aliyefariki dunia; jinsi ya kufahamu iwapo ameacha fedha kwenye simu au hakuacha, hasa kama haujui namba yake ya siri ya akaunti…

‘Serikali imedhamiria kuungana na sekta binafsi’

DAR ES SALAAM  Na Jackson Kulinga Siku moja kabla ya kufanyika mkutano wa 13 wa Baraza la Biashara la Taifa (TNBC), Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF), Paul Makanza, alizungumzia kuridhishwa kwake na umakini wa serikali katika kutekeleza maazimio…

BARUA KWA RAIS  Mahabusu: Kisutu Extended inatutesa

Ndugu Mhariri, tunaomba nafasi japo ndogo katika gazeti lako tukufu ili Rais Samia Suluhu Hassan na watendaji wake wafahamu yanayotusibu. Malalamiko yetu ni ya kukaa gerezani kwa muda mrefu katika kesi za mauaji zilizopo Mahakama Kuu upande wa Kisutu Extended…

Ya Raila 2017 yamkuta Ruto

MOMBASA Na Dukule Injeni Takriban miaka 10 iliyopita Uhuru Kenyatta akiwa kiongozi wa Chama cha TNA aliungana na William Ruto wa URP wakati huo na kuunda muungano wa Jubilee ulioshinda Uchaguzi Mkuu mwaka 2013. Katika moja ya kampeni zao, Kenyatta,…