Category: MCHANGANYIKO
BRELLA kutoa mafunzo kwa Burundi, Sudan Kusini utoaji huduma kwa njia ya mtandao
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), imeanza kutoa mafunzo ya siku tatu kwa wawakilishi kutoka nchi za Burundi na Sudan Kusini juu ya utoaji wa huduma za urasimishaji wa biashara kwa…
Waandishi wa habari wawili wafariki kwa ajali Rufiji
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Pwani Waandishi wa habari wawili waliokuwa wakitokea Dar es Salaam kuelekea Lindi wamefariki baada ya gari walilokuwa wamepanda kugongwa na gari aina ya Canter. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Rufiji, Protas Mutayoba, amethibitisha kutokea kwa…
Ubomoaji nyumba bonde la Msimbazi kuanza Aprili 12, nyumba 2,155 kuathirika
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Ubomoaji nyumba zilizofidiwa katika Mradi wa Uendelezaji wa Bonde la Msimbazi unatarajiwa kuanza Aprili 12, 2024, na litawahusu waathirika 2,155 ambao tayari wamelipwa fidia. ambaye ni Mratibu wa Miradi ya Ushirikiano na Benki…
DAWASA yaendelea utoaji vifaa vya maunganisho Dar es Salaam
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inaendelea na zoezi la utoaji wa vifaa vya maunganisho mapya ya huduma ya majisafi kwa wakazi wote wa maeneo ya Kiharaka, Kiembeni,…
Nchimbi: Uwepo Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar umeondoa siasa za chuki, uhasama
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amesema uamuzi wa kuwepo kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Zanzibar (SUK) ulizingatia kutanguliza mbele usalama wa maisha ya watu kuliko maslahi…