Category: MCHANGANYIKO
Polisi: waliokaidi kuondoa 3D kukamatwa
Na Mwandishi Wetu, Jeshi la Polisi -Arusha. Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha limekutana na viongozi wa madereva wa Daladala Mkoani humo kwa ajili ya kusikiliza changamoto zinazowakabili Kwa ajili ya kuzitatua. Akizungumza mara baada ya…
Yanga Vs Mamelod, vita ya kukata na shoka
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia Kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya robo fainali dhidi ya Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini, Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi ameweka wazi kuwa watafanya maandalizi bora kupata matokeo chanya. Ikumbukwe kwamba Yanga…
Arusha ipo tayari kwa michezo ya Mei Mosi, 2024
Na Eleuteri Mangi, JamhuriMedia, Arusha Maandalizi ya michuano ya michezo ya Mei Mosi 2024 yanaendelea jijini Arusha ikiwemo kuweka vizuri mazingira ya Uwanja wa Sheikh Amri Abeid tayari kwa maadhimisho ya Sherehe hizo. Hayo yamesemwa na Kaimu Katibu Tawala Mkoa…
Safari ya kuendeleza vyanzo vipya vya umeme yashika kasi
๐ Dkt.Biteko azindua utekelezaji mradi mkubwa wa umeme Jua Kishapu ๐ Ni wa megawati 150 ๐ TANESCO, REA watakiwa kupelekea umeme wananchi kwa haraka ๐Wakandarasi SUMA-JKT, TONTAN waonywa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo…
Maambukizi ya Malaria yamepungua kwa asilimia 8.1 Tanzania
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. John Jingu amesema kiwango cha maambukizi ya ugonjwa wa Malaria nchini kimepungua na kufikia asilimia 8.1 kwa mwaka 2023 kutoka asilimia 15 kwa mwaka 2015. Dkt. Jingu amesema hayo…
Mbaroni kwa kusambaza taarifa za uchochezi kuhusu viongozi wa Serikali
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata, linawashikilia na kuwahoji kwa kina watuhumiwa watano (5) kwa tuhuma za kutenda makosa mbalimbali ya kimtandao. Akizungumza na Waandishi wa habari leo Machi…