Category: MCHANGANYIKO
Stamico: Tutaendelea kuwabeba wachimbaji wadogo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Lindi Shirika la Madini la Taifa (Stamico) limesema litaendelea kutoa elimu, vifaa na kuboresha mazingira ya uchimbaji hapa nchini ili rasilimali za Taifa ziweze kusaidia wengi zaidi. Miongoni mwa mafanikio wanayojivunia ni ushirikiano na makubaliano waliyoingia…
Waziri Mkuu mgeni Rasmi kilele cha Siku ya UKIMWI
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi Siku ya Kilele cha Maadhimisho ya UKIMWI Duniani itakayofanyika kitaifa December 1 mwaka huu mkoani Morogogo. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera,…
TMA yatoa utabiri wa mvua maeneo yanayopata msimu mmoja
Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kufuatia kuanza kwa mvua za msimu Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imeitaka idara ya menejimenti ya maafa nchini kuendelea kuratibu utekelezaji wa mipango itakayosadia kupunguza madhara yanayoweza kujitokeza kipindi cha mvua…
Waziri Mkuu awataka madereva wa Serikali wazingatie sheria
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka madereva wa Serikali kuwa mfano wa kuzingatia sheria zote kwa sababu kuendesha gari ya Serikali haimaanishi wamepewa rungu la kuvunja sheria bali wanapaswa kuwa mfano wa kuzizingatia hasa zile za…
Washiriki 500 wakiwemo asasi za kiraia, sekta binafsi kushiriki wiki ya AZAKI Arusha
Na Mwandishi Wetu, JamhiriMedia Washiriki wapatao 500 wakiwemo wadau wakuu wa maendeleo wa Asasi za kiraia pamoja na Sekta Binafsi, wanatarajiwa kushiriki katika wiki ya Asasi za Kiraia (AZAKI), itakayofanyika kuanzia Oktoba 23 hadi 27, 2023 Jijini Arusha. Mkurugenzi Mtendaji…