Category: MCHANGANYIKO
Agizo la Waziri TAMISEMI latekelezwa
GEITA Na Antony Sollo Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe, mkoani Geita limetekeleza agizo lililotolewa na Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), David Silinde, kwa kuwaweka kando kupisha uchunguzi watumishi watatu wa…
Diwani alilia magofu ya Serikali
DAR ES SALAAM Na Alex Kazenga Pamoja na serikali kutilia mkazo ujenzi wa sekondari na vituo vya afya kila kata, Kata ya Minazi Mirefu iliyopo Ilala jijini Dar es Salaam hali ni tofauti. Kata hiyo iliyoanzishwa mwaka 2015 yenye wakazi…
Chongolo, Shaka wakemea uzembe
SUMBAWANGA Na Mwandishi Wetu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, ameacha maagizo mazito kwa uongozi wa Mkoa wa Rukwa baada ya kumaliza ziara ya kikazi ya siku mbili mkoani hapa. Miongoni mwa maagizo hayo ni kumtaka Mkuu…
Ujenzi barabara Mwandiga – Mwamgongo waanza
KIGOMA Na Mwandishi Wetu Serikali imeanza ujenzi wa barabara ya Mwandiga – Chankere – Mwamgongo yenye urefu wa kilomita 65 kwa kiwango cha changarawe ili kurahisisha huduma za usafiri na usafirishaji kwa wananchi wa Jimbo la Kigoma Kaskazini na mikoa…
Ujumbe wawatoa machozi viongozi
TABORA Na Benny Kingson Ujumbe wa kupinga vitendo vya kubakwa na kutumikishwa katika kilimo cha tumbaku na kazi nyingine ngumu uliotolewa na watoto wa shule za msingi Wilaya ya Kaliua, mkoani Tabora, umewasisimua viongozi, wazazi na walezi na kusababisha watokwe…
Mchango wa sheria katika uchumi wa kati
KATAVI Na Daniel Kimario Mwaka 2020 Tanzania iliingia katika uchumi wa kati. Uwanda huu unatafsiriwa na wataalamu mbalimbali, Benki ya Dunia na vyombo vyake kuwa ni uwanda wa mataifa ambayo uchumi wake unawezesha pato la mtu mmoja mmoja kuwa kati…