JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Kapinga ashiriki kikao cha mawaziri wa kisekta Arusha

πŸ“Œ Tanzania, Rwanda, Uganga kusaini MOU kuendeleza mradi wa kufua umeme wa pamoja wa Nsongezi πŸ“Œ Baraza kusimamia Kongamano na Maonesho ya 11 ya Petroli ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Machi 5 hadi 7 2025 Jijini, Dar es Salaam. Naibu…

Serikali Mtandao yatakiwa kuendelea kufanya utafiti

Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia, Arusha Mamlaka ya serikali mtandao imetakiwa kuendelea kufanya tafiti ili kuleta bunifu za Mifumo ya TEHAMA ambayo sio tu itaboresha utendaji kazi bali pia itasaidia kuondoa kero za upatikanaji wa huduma mbalimbali za Serikali kwa wananchi….

Serikali yajidhatiti kuboresha sekta ya kilimo – Dk Biteko

πŸ“Œ Anadi soko la mazao jamii ya mikunde India πŸ“Œ Mnada mazao ya kunde mtandaoni waboresha biashara ya kimataifa πŸ“Œ Biashara kati ya Tanzania na India kufikia dola bilioni 7.9 Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati…

Wasiolipia kodi na kuendeleza ardhi waanza kubanwa

Na Munir Shemweta, WANMM Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeanza kuwabana wamiliki wote wa ardhi wasiolipa kodi ya pango la ardhi sambamba na kutoendeleza maeneo wanayomiliki. Wakiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa sharti la kulipa kodi…

Miili ya wanajeshi wa Afrika Kusini waliouawa katika mapigano yarejea nyumbani

Taarifa zinaeleza kuwa takriban wanajeshi 800 waliripotiwa kupelekwa katika eneo la mzozo mapema wiki hii, lakini Jeshi la Afrika Kusini (SANDF) limekataa kuthibitisha rasmi taarifa hizo. Kwa mujibu wa Jeshi la Taifa la Afrika Kusini (South African National Defence Union),…