Category: MCHANGANYIKO
Mfereji wa Suez kupanuliwa
CAIRO, MISRI Mipango imeanza kuupanua Mfereji wa Suez nchini Misri kama njia ya kuhakikisha usalama na ufanisi wa usafirishaji, hasa kwa njia ya meli. Machi mwaka huu biashara duniani iliingia kwenye mtanziko mkubwa baada ya meli moja kubwa ya mizigo…
Mbowe akiri uzembe 2020
TABORA Na Mwandishi Wetu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema kushindwa kwao katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana hakukuchangiwa na aliyekuwa mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli pekee, bali ni pamoja…
RC amtaka Mwenyekiti wa Kijiji kurejesha Sh 150,000
TABORA Na Benny Kingson Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Ali Hapi, amemwagiza Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Itaga, Manispaa ya Tabora, Mashaka Ramadhani, kurejesha Sh 150,000 alizomdhulumu mkazi wa kijijini hapo. Agizo hilo limetolewa kwenye mkutano wa hadhara baada…
Mbunge: Makubwa yamefanywa Ardhi
DODOMA Na Suleiman Sultan Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Khadija Hassan Aboud, amesifu utendaji wa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, akisema ameleta mabadiliko katika utoaji haki, kupunguza dhuluma, uonevu na kuondoa migogoro mingi nchini. Akizumgumza…
Uhalali wa wabunge 19 wa Chadema
DODOMA Na Mwandishi Wetu Kwa muda mrefu kumekuwa na mjadala juu ya uhalali wa kuwapo wabunge 19 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kama sehemu ya Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni takriban miezi mitano…
Nani ‘anaua’ vipaji Yanga?
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Ni matamanio ya kila shabiki wa soka kuiona klabu anayoishabikia ikipiga hatua na kufikia mafanikio, ikiwa ni pamoja na kuchukua mataji. Naam! Ni kama vile kuwafikisha wana wa Israel katika nchi ya ahadi na…