Category: MCHANGANYIKO
Nyumba 280 zaezuliwa na upepo ulioambatana na mvua Rufiji
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, amesema takriban nyumba 280 zimeezuliwa na upepo mkali ulioambatana na mvua kubwa iliyonyesha mwanzoni mwa mwezi huu wilayani Rufiji mkoani humo. Kunenge aliyasema hayo alipokuwa akizungumza wilayani humo,…
Rais Samia aondoka nchini kushiriki mkutano wa 39 wa wakuu wa nchi wa Umoja wa Afrika
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameondoka nchini leo tarehe 12 Februari 2026 kuelekea Addis Ababa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la Ethiopia, kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi…
Burkina faso kujifunza mageuzi ya usimamizi na uendeshaji sekta ya madini
Na Mwandishi Wetu, Dodoma TANZANIA imeendelea kuimarisha na kuthibitisha nafasi yake kama kitovu cha maarifa na uzoefu katika usimamizi na uendeshaji wa Sekta ya Madini barani Afrika, baada ya kupokea Ujumbe wa kitaalamu kutoka Burkina Faso uliokuja kujifunza mifumo na…
Umoja wa Ulaya kushirikiana na Tanzania kwenye Mnyororo wa Thamani wa Madini
Na Mwandishi Wetu Umoja wa Ulaya (EU) umeonesha nia ya kuendelea kushirikiana na Tanzania katika mnyororo mzima wa thamani wa madini, ikiwemo ujenzi wa uwezo kwa wataalam wa madini, mafunzo ya ufundi stadi, teknolojia za kisasa, na utunzaji wa data…
Masauni atoa rai kwa wabunge kupinga upotoshaji kuhusu muungano
Na; Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni ametoa rai kwa wabunge kupinga na kusahihisha upotoshaji wa taarifa kuhusu Muungano, hususan kupitia mikutano ya hadhara na mitandao…





