JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Hospitali ya SINO yaipa nguvu Tanzania ya Utalii Tiba

*Yaunga mkono Dira ya Rais Samia utali tiba Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam WATANZANIA wameanza kunufaika na huduma za matibabu ya kibingwa zinazopatikana nchini, hali inayopunguza gharama na ulazima wa kusafiri nje ya nchi kutafuta matibabu. Mkurugenzi Mtendaji wa…

Rais Dk Mwiny: Kamera za usalama barabarani kudhibiti ajali Z’bar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali imeanza kuweka mfumo wa kamera za usalama barabarani ili kuimarisha utii wa sheria, kurejesha nidhamu na kudhibiti ajali zinazotokana na ukiukwaji wa sheria za…

Rais Samia ateta na viongozi wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Agosti 10, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania kupitia Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), huku akisisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya…

Makamu wa Rais amtembelea Rais Mstaafu Jakaya Kikwete

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amemtembelea na kumjulia hali, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, katika makazi yake, Kawe Jijini…