Category: MCHANGANYIKO
Tanzania yashiriki mkutano wa Umoja wa Afrika masuala ya wanawake na jinsia Mkutano wa CSW 70
Na WMJJWM-New York Marekani Tanzania imeshiriki Mkutano wa masuala ya Jinsia na Wanawake wa nchi Wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) kando ya Mkutano wa 70 wa Hali ya Wanawake Duniani unaendelea jijini New York nchini Marekani kwa lengo la…
Mbarawa aipongeza TASAC
N Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), limepongezwa kwa mafanikio na kuwaleta wadau mbalimbali pamoja na watoto yatima na kuwapatia Iftar . Akizungumza katika hafra ya Iftar na dua iliyoandaliwa na TASAC kwenye…
Wanawake watatu wapata fursa ya kupandikizwa mimba bure kituo cha Kairuki (KGIVF)
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WANAWAKE watatu wamebahatika kupata fursa ya kupandikiza mimba bure katika kituo cha kupandikiza mimba cha Kairuki Green IVF (KGIVF), Kilichoko Bunju A Mianzini jijini Dar es Salaam. Walipata fursa hiyo jana jioni wakati…
Dk Mataragio : Miradi sekta ya mafuta asilia ikamilike kwa wakati
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia Mafuta na Gesi Asilia, Dkt. James Mataragio, ameitaka Menejimenti ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuhakikisha kuwa miradi ya mafuta na gesi asilia inayoendelea nchini inatekelezwa na kukamilika kwa wakati ili…
Tanzania, Uganda zasaini makubaliano kuimarisha ushirikiano wa kimkakati reli ya SGR
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Uganda zimeendelea kuimarisha ushirikiano wa kidiplomasia na kiuchumi kufuatia kusainiwa kwa Hati ya Makubaliano (MoU) wakati wa Mkutano wa Tano wa Tume ya Pamoja ya Kudumu (JPC) uliotamatika…





