Category: MCHANGANYIKO
Wanaomzushia majanga JK mizimu itawaumbua
BAGAMOYO Na Umar Mukhtar Wapo baadhi ya watu wasiotaka kukiri kuwa miongoni mwa wanasiasa waliowahi kutokea Afrika ambao ni wajuzi wa mapiku ya kisiasa na masuala ya utawala kuwahi kutokea; watu wenye maarifa mapana na mizungu ya kisiasa wanaozijua vema…
Biden awasilisha bajeti inayojali watu wa kati
WASHINGTON, MAREKANI Ikulu ya Marekani imependekeza bajeti ya dola trilioni 6 kwa ajili ya mwaka wa fedha 2022. Wakati mapendekezo hayo ya bajeti yakitolewa, Rais Joe Biden amejiandaa kutoa maelezo ya mipango yake ya kifedha katika kipindi cha kati. Atatoa…
Ujerumani kuilipa Namibia fidia
WINDHOEK, NAMIBIA Zaidi ya miaka 100 baada ya serikali yake ya kikoloni kufanya matendo ya kikatili kwa wakazi wa Namibia, Ujerumani imetambua makosa hayo kama mauaji ya kimbari. Ukatili huo ulifanywa dhidi ya watu wa jamii za Herero na Nama,…
Pumzika Jenerali Tumainiel Kiwelu
Na Joe Beda Rupia Luteni Jenerali Tumainiel Kiwelu ni mmoja wa viongozi watakaokumbukwa daima katika Mkoa wa Rukwa, hasa mjini Sumbawanga. Ndiyo, Jenerali Kiwelu. Hakika ameacha alama zisizofutika. Ninashindwa nianzie wapi katika kumuelezea mwamba huyo wa Vita ya Kagera. Anyway,…
Aeleza sababu ya Jua Kali kuvutia wengi
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Msanii, mtunzi na mwongoza filamu, Leah Mwendamseke, maarufu kama Lamata, amesema uhalisia uliomo ndani ya tamthilia yake ya ‘Jua Kali’ ndiyo sababu ya kugusa mioyo ya watazamaji wengi. Akizungumza jijini Dar es Salaam, Lamata…
Dayna amnasa Davido
DAR ES SALAAM Na Regina Goyayi Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Dayna Nyange, yupo nchini Nigeria akiandaa nyimbo kadhaa zitakazokuwa kwenye EP (extended playlist) yake mpya. Akizungumza na JAMHURI, msanii huyo wa kike ambaye yupo kwenye mikakati ya kurejesha…