Category: MCHANGANYIKO
Cameroon imethibitisha kufanya mazungumzo na meneja wa zamani wa England -Eriksson
Cameroon imethibitisha kufanya mazungumzo na kocha wa zamani wa England Sven-Goran Eriksson kuchukua usukani wa kuifunza timu ya taifa hilo Indomitable Lions. Eriksson mwenye umri wa miaka , 70, raia wa Sweden alikuwa na mazungumzo mazuri na maafisa wa Shirikisho…
TFF YAINGIA MKATABA NA BENKI YA KCB KUDHAMINI LIGI KUU BARA
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) na Benki ya KCB wamesaini mkataba wa kudhamini Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu wa 2018/19 wenye thamani ya shilingi Milioni 420. TFF wamefikia makubaliano hayo KCB baada ya wadau mbalimbali kuanza kuhoji juu…
KOCHA YANGA ATIMKIA KENYA
Kocha aliyekuja nchini takribani siku mbili zilizopita, Razaq Siwa, amerejea kwao Kenya bila kufahamu hatua ipi ya mazungumzo wamefikia na Yanga. Siwa ambaye ni kocha wa makipa, aliwasili nchini kisha kupokelewa na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili Yanga, Hussein Nyika,…
SAMATTA NA LEVANTE WAFIKIA HATUA HII, MENEJA WAKE AFUNGUKA
Baada ya tetesi kubwa za Mtanzania, Mbwana Samatta anayekipiga katika klabu ya KRC Genk huko Ubelgiji kuhitajika Levante, kuzidi kushika kazi, Meneja wa mchezaji huyo, Jamal Kisongo amesema mambo bado hayajaa sawa. Kisongo amefunguka na kueleza mazungumzo baina ya Levante…
MGOGORO WA YANGA, WAMPELEKA AKILIMALI IKULU KWA MAGUFULI
Kutokana na hali ya Yanga kuwa katika kipindi cha mpito hivi sasa, imeelezwa kuwa Katibu wa Baraza la Wazee ndani ya klabu hiyo, Ibrahim Akilimali, amepanga kufika Ikulu kwa Rais John Pombe Magufuli. Taarifa imeeleza kuwa Akilimali amefunguka na kusema…
BAADA YA KUKABIDHIWA KITI CHA MKWASA, KAAYA AJA NA OMBI MOJA KWA WANAYANGA
Baada ya kuchaguliwa kuwa Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga akichukua nafasi ya Charles Mkwasa, Omary Kaaya, ameibuka na kueleza jambo la kwanza ambalo Wanayanga kwa ujumla wanapaswa kulitilia nguvu. Kaaya amesema ili Yanga iweze kusonga mbele cha kwanza inabidi waunganike…