JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Waziri Sagini ataka kuchukuliwa hatua wasiofuata sheria

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Jumanne Sagini amewataka Wakuu wa Usalama Barabarani wa Mikoa na Wilaya (RTOs na DTOs) kuendelea kuwachukulia hatua kali madereva sambamba na watumiaji wengine wa vyombo vya moto wasiotaka kufuata sheria,kanuni na alama…

Mabula atoa onyo kwa viongozi wanaochochea migogoro ya ardhi

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Bagamoyo WAZIRI wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na maendeleo ya makazi Angelina Mabula ametoa onyo kwa baadhi ya Viongozi wa ngazi za vijiji na vitongoji wanaokuwa chachu ya migogoro kwa kuuza ardhi zaidi ya mara moja ili…

TAKUKURU yabaini mapungufu kwenye miradi Mwanza

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Mwanza TAASISI ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza imefuatilia utekelezaji wa miradi ya maendeleo 22 yenye thamani ya Bilioni 27 katika sekta ya elimu, barabara,maji,usafi wa mazingira na afya. Hayo yamebainishwa leo Agosti 10,2022…

Rais atangaza elimu bure kwa wanafunzi wa uhandisi na tiba

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuanzia mwaka huu serikali itatoa ufadhili wa masomo kwa wanafunzi watakaofanya vuzuri katika mitihani ya kidato cha sita na kuchagua kusomea fani ya Uhandisi na tiba. Rais Samia ameyasema…

TEF: Tunamshukuru Rais Samia kwa kuona umuhimu wa kupitia sheria za habari’

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, amemshukuru Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu kwa kuona umuhimu wa kupitia sheria za habari na kuagiza zifanyiwe maboreshio ili kuendana na mazingira yaliyopo. Hayo…