Category: MCHANGANYIKO
Makamu wa Rais afungua mkutano wa viongozi wa Taasisi na Mashirika ya Umma kuhusu mabadiliko ya tabianchi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema Viongozi wa Taasisi na Mashirika wanawajibika kuchangia juhudi za Serikali katika kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi kwa kuandaa na kutekeleza mikakati itakayosaidia kupunguza uzalishaji…
Mawakala wa vyama kielelezo cha uwazi uboreshaji daftari la wapiga kura
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Uwepo wa mawakala wa vyama vya siasa wakati wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ni kielelezo cha uwazi na ni muhimu kwa kuwa mawakala hao watasaidia kutambua waombaji wa eneo…
Dk Samua kuisuka upya Muhimbili kwa trilioni 1.2/-
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali imedhamiria kuboresha Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kuijenga upya ili kuwezesha huduma zote kutolewa ndani ya jengo moja litakalokuwa na vitanda 1,757 kutoka 1,435 vya sasa ambapo mradi huo utagharimu USD .468…





