JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Ndejembi ataka EWURA kukagua maghala ya mafuta kuhakikisha hakuna mafuta yanayofichwa

๐Ÿ“ŒAsema nchi ina usalama mkubwa wa mafuta hivyo wananchi waendelee kupata huduma muda wote ๐Ÿ“ŒTimu maalum kuundwa kufuatilia uingizaji wa mafuta nchini Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi ameitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kuhakikisha…

Serikali inaboresha miundombinu ili mtoto apate haki yake ya elimu bora – Prof. Shemdoe

Na OWM – TAMISEMI, Lushoto Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amesema Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI inaendelea kusimamia uboreshwaji wa miundombinu ya elimu nchini, ili kuhakikisha kila mtoto wa Kitanzania…

Tumerejesha mawasiliano daraja la Nguva -Sanga

โ€ข Akagua na kuipongeza Serikali kuchukua hatua za haraka โ€ข Daraja hilo sasa kukamilika Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kigamboni Mbunge wa Jimbo la Kigamboni Mhe. ๐—›๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐—ป ๐—ฆ๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ ameipongeza Serikali kwa hatua za haraka za kurejesha mawasiliano katika Daraja la Nguva…

Miaka 30 kwa kujaribu kumbaka kikongwe

Mahakama ya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela James Hashimu Chingwaru (20), mkazi wa Kijiji cha Mtina, baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kujaribu kumbaka bibi mwenye umri wa miaka 75. Adhabu hiyo imetolewa…

Nimezindua madarasa yatakayoondoa msongamano wa wanafunzi -Prof. Shemdoe

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Bumbuli Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM -TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amesema kuwa amezindua madarasa matatu katika Shule ya Sekondari Kilivicha wilayani Bumbuli ambayo yataondoa changamoto…

TANESCO yagusa mioyo ya watoto wenye mahitaji maalum

๐Ÿ“ŒNi sehemu ya uwajibikaji wake kwa jamii ๐Ÿ“ŒYatoa misaada mbalimbali kwa vituo vitatu Dar es Salaam. Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Katika kuendeleza dhamira ya uwajibikaji kwa jamii, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), tarehe 19 Machi 2026, lilifanya…