Category: MCHANGANYIKO
Rais Samia kupokea gawio la kihistoria leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan, Jumanne, leo Juni 10, 20205 anatarajia kupokea gawio na michango mingine kutoka kwa taasisi za umma na kampuni ambazo serikali ina umiliki wa hisa chache, huku matumaini ya wataalamu…
Makamu wa Rais ahutubia mkutano wa Bahari wa Umoja wa Mataifa
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Mataifa kuhakikisha kunakuwa na hatua za pamoja, mshikamano wa kimataifa, na uwekezaji endelevu ili kuhakikisha uchumi endelevu wa bahari, kupunguza uchafuzi wa mazingira pamona…
Tume ya Uchaguzi yapongezwa maandalizi uchaguzi Mkuu 2025
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dkt. Jim Yonaz ameipongeza Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kwa kukamilisha zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura na kuendelea vyema…
Waziri wa Afya ahimiza usafi na matumizi ya bidhaa salama kwa wanawake
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Waziri wa Afya Janister Mhagama, ametoa wito kwa wanawake kote nchini kuhakikisha wanazingatia usafi wa mwili kwa kutumia bidhaa salama zilizoidhinishwa na mamlaka za udhibiti ili kujikinga na maambukizi hatari na magonjwa yasiyoambukiza kama vile kisukari, shinikizo…