Category: MCHANGANYIKO
Serikali yaelekeza bilioni 300/- kuchochea tija ya kilimo nchini
Serikali imeongeza uwekezaji katika sekta za kilimo, mifugo na uvuvi kwa kupanua upatikanaji wa mikopo kwa vijana, wanawake na wajasiriamali, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuongeza tija katika minyororo ya thamani ya sekta hizo. Hatua hiyo imebainishwa leo katika…
Mwitikio dhidi ya tahadhari kujikinga na Ebola waendelea kuimarishwa nchini
Na Cletus Sanga, WAF – Arusha WIZARA ya Afya kwa kushirikiana na Ofisi ya waziri Mkuu – TAMISEMI na CIHEB Tanzania chini ya Mradi wa Usalama wa Afya Duniani unaofadhiliwa na serikali ya Marekani imeendelea kuimarisha mwitikio dhidi ya ugonjwa…
Ngasongwa atoa elimu ya ushindani, awaasa wananchi kujihadhari na bidhaa bandia
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ushindani (FCC), Bi. Khadija Ngasongwa, ameshiriki kilele cha Maonesho ya 33 ya Kimataifa ya Kilimo ya Nane Nane, yaliyofanyika katika viwanja vya Dkt.John Malecela Nzunguni Jijini Dodoma yakilenga kuimarisha tija,…
Rais Samia: Tutaendelea kuimarisha mitaji kupitia TADB
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kuimarisha upatikanaji wa mitaji kwa wadau wa sekta ya kilimo kupitia Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), huku mtaji wa benki hiyo ukiongezeka kutoka Sh bilioni 60 mwaka 2020/21 hadi Sh bilioni…
Chatanda : Mikopo asilimia 10 imebadili maisha ya wananchi Mbalizi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mpango wa serikali wa kutoa mikopo isiyo na riba ya asilimia kumi kwa wanawake, vijana na wenye mahitaji maalum, imeonyesha kuzaa matunda kwa wananchi wa Mbalizi mkoani Mbeya. Hii ni kutokana wa wanufaika wa mikopo hiyo…
Mhandisi Swedi: Nanenane ni fursa ya kuimarisha sekta ya madini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Aziza Swedi, amesema Maonesho ya Nanenane ni jukwaa muhimu la kuwaelimisha wananchi kuhusu Sekta ya Madini, kusikiliza maoni yao na kupata mrejesho unaosaidia kuboresha huduma na kuongeza…





