Category: MCHANGANYIKO
Waziri Ndejembi : Wakandarasi wa umeme wasiofanya vizuri wasipewe miradi mingine
📌Apongeza mchango REA katika kufikisha asilimia 78.1 ya upatikanaji umeme vijijini 📌Apongeza wakandarasi wazawa waliofanya vizuri katika utekelezaji wa miradi; Ataka wapewe kazi zaidi Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi, ameuelekeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuhakikisha kuwa wakandarasi ambao…
Wataalam wa REA Zambia kujifunza mafanikio ya Tanzania katika usambazaji umeme vijijini
Viongozi wa Mamlaka ya Nishati Vijijini (REA) kutoka nchini Zambia wamewasili nchini kwa ajili ya ziara ya kujifunza na kubadilishana ujuzi na Wakala wa Nishati Vijijini (REA). REA Zambia ambao wameongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati Zambia anayeshughulikia…
IAE yaeleza jinsi Elimu Nje ya Mfumo rasmi inavyookoa maelfu ya vijana
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (IAE) imesema imeendelea kuwa mhimili muhimu katika kupunguza ujinga, kuongeza ujuzi na kurejesha fursa za elimu kwa maelfu ya watoto, vijana na watu wazima waliokosa au kuacha masomo katika…
Waziri Mkuu awasisitiza Watanzania kuwahudumia wenye mahitaji
……………………… WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania kushirikiana na Serikali katika kutunza na kuhudumia vituo vya watoto wenye mahitaji maalumu na wasiojiweza badala ya kutegemea wahisani kutoka nje kwani mambo hayo yamepitwa na wakati. Ametoa kauli hiyo leo Jumapili,…
Tanzania,Namibia kuendeleza ushirikiano wa Kihistoria
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kongwa Rais wa Namibia, Dk. Netumbo Nandi-Ndaitwah, amesema Tanzania na Namibia zina wajibu wa kuendeleza na kuimarisha uhusiano wao wa kihistoria uliojengwa wakati wa harakati za ukombozi wa Kusini mwa Afrika, ili uwe chachu ya maendeleo…





