Category: MCHANGANYIKO
NEMC kuanza utekelezaji maagizo ya Serikali yaliyotolewa kwenye maadhimisho ya Siku ya Mazingira
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limesema lipo mbioni kuanza kufanyia kazi upya mapitio ya Sheria za mazingira ili kufanikiwa, kupunguza na hatimaye kukomesha kabisa uharibifu wa mazingira nchini . Hatua…
Kuna gari linanifuatilia, nahofia maisha yangu – Lissu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Singida Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ameweka wazi kuwa tangu ameanza ziara yake kuna gari inafuatilia msafara wake na wakifika kwenye mkutano Watu hao hujificha. Lissu ameyasema hayo akiwa kwenye…
Basi la Struggle lakamatwa kwa kuzidisha abiria 33
Na Abel Paul,Jeshi la Polisi -Arusha Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha limefanya operesheni maalum iliyolenga kutoa elimu na kufanya ukaguzi wa mabasi ambayo yatoa huduma Mkoani humo huku likimkamata dereva Sostenes Mgaya (42) Mkazi wa…
Korea yatoa bilioni 422 ujenzi wa Hospitali ya Binguni
Serikali ya Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Korea zimesaini Mkataba wa Mkopo nafuu wa Shilingi bilioni 422.16 kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Binguni, Zanzibar. Mkataba wa Mkopo huo umesaimiwa jijini Soeul Juni 05, 2024 na…
Uwekezaji wa kweli ni katika sekta ya nishati safi ya kupikia – Rais Samia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameiambia dunia kuwa uwekezaji wa kweli katika nishati ni kuwekeza katika nishati safi ya kupikia barani Afrika. Rais Samia ametoa kauli hiyo wakati anahutubia Mkutano wa Wakuu wa Nchi…





