JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Funga mwaka ya Rais Samia 

DAR ES SALAAM NA MWALIMU SAMSON SOMBI Machi 19, mwaka jana Samia Suluhu Hassan aliapishwa kuwa Rais wa Tanzania baada ya kifo cha mtangulizi wake, Rais Dk. John Magufuli, kilichotokea Machi 17, mwaka jana. Akizungumza katika hotuba yake fupi baada…

Kujiuzulu Ndugai ni ukomavu wa fikra

DAR ES SALAAM Na Javius Kaijage Januari 6, mwaka huu ni siku ambayo Job Ndugai alitangaza kujiuzulu nafasi yake ya uspika wa Bunge, hivyo kuandika historia mpya katika kitabu cha Tanzania. Ni historia mpya kwa maana kwamba kumbukumbu zinaonyesha kuwa…

Defao alipaswa kuwa Dar siku aliyokufa

TABORA Na Moshy Kiyungi Wiki mbili tu baada ya Gazeti la JAMHURI kuandika maisha ya mkongwe wa muziki wa Afrika na raia wa DRC, Lulendo Matumona, maarufu Le Jenerali Defao, taarifa zikasambazwa kuwa amefariki dunia. Katika toleo la gazeti hili…

Tutu alikuwa mwanaharakati wa kimataifa

Na Nizar K Visram Askofu Mkuu Desmond Tutu wa Cape Town (Afrika Kusini) alipofariki dunia Desemba 26, 2021 akiwa na umri wa miaka 90, ulimwengu ulimlilia.  Wengi wakakumbuka jinsi alivyokuwa mwanaharakati aliyepambana na ubaguzi wa rangi (ukaburu) nchini mwake. Wakakumbuka…

Waziri Mkuu anena


RUANGWA Na Deodatus Balile Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa, amevunja ukimya dhidi ya watu wanaomsakama mitandaoni wakidai anataka kugombea urais mwaka 2025, akiwataja kuwa watu hao wana nia ya kumchafua na kuvuruga utulivu na kasi…

TAKUKURU wambambikia kesi mwandishi

*Watumia taarifa walizopewa na JAMHURI kutaka kuuzima ukweli *Kamanda wa TAKUKURU Arusha amchuuza Mhariri, amlengesha *Ashiriki ubambikiaji kesi huku mtuhumiwa akitamba kuiweka mfukoni Serikali *Naibu Mkurugenzi Mkuu bila kusikiliza asema kesi iendelee, ni jinai ARUSHA Na Mwandishi Wetu Katika hali…