Category: MCHANGANYIKO
Spika ataka sekta za kilimo, nishati kufungamana
LILONGWE Na Mwandishi Maalumu Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, amezitaka nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kufungamanisha sekta za kilimo na nishati kupitia mikakati mbalimbali ya kukuza uchumi wanayoitekeleza. Akizungumza katika Mkutano Mkuu wa 51…
Pugu Kinyamwezi walalamikia kuvamiwa
Na Aziza NangwaBaadhi ya wakazi wa Pugu Kinyamwezi wanalia kwa kupoteza viwanja, nyumba zao na kanisa walilokuwa wakilitumia kuabudu baada ya mtu waliyemtaja kwa jina moja la Shabani na kundi lake kuwavamia mara kwa mara usiku na mchana.Wakizungumza na JAMHURI…
Wakazi Kwembe walilia fidia kupisha ujenzi wa MUHAS
Sisi zaidi ya wakazi 2,500 wa maeneo ya Kwembe Kati, King’azi, Kisopwa na Mloganzila katika Kata ya Kwembe tunakuomba Rais Samia Suluhu Hassan utusaidia kulipwa fidia zetu. Kwa mara ya kwanza tulivunjiwa nyumba zetu na serikali tangu Septemba, 2008 baada…
Siku ya Kiswahili duniani; ni fursa au changamoto? – 2
DAR ES SALAAM Na Abbas Mwalimu Wiki iliyopita makala hii ilichambua umuhimu wa Kiswahili katika nyanja tofauti tofauti. Leo tuendelee kwa kukichambua jinsi kilivyotumika pia kama lugha ya ukombozi katika nchi za Msumbiji, Zimbabwe na Afrika Kusini (wakati wa ubaguzi…
Lumumba azikwa kishujaa baada ya miaka 61
Na Nizar K Visram Hatimaye wananchi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wamemzika rasmi Waziri Mkuu wao wa kwanza, Patrice Lumumba, aliyeuawa mwaka 1961. Wakoloni na vibaraka wao walimuua kisha wakakatakata mwili wake na kuuyeyusha katika tindikali. Kilichobaki ni…
Azimio watumia hasira za Ruto kumdhoofisha
MOMBASA NA DUKULE INJENI Kampeni za kisiasa nchini Kenya kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mapema mwezi ujao zinaingia hatua za lala salama huku kila upande ukitumia vema majukwaa ya siasa kupigana vijembe badala ya kuuza sera. Licha ya uwapo wa wagombea…