Category: MCHANGANYIKO
Msajili Hazina ashiriki uzinduzi ujenzi mgodi wa madini Kinywe
Na Mwandishi wa OMH Mahenge, Morogoro. Msajili wa Hazina, Bw. Nehemiah Mchechu, ameshiriki uzinduzi wa shughuli za ujenzi wa mgodi wa madini ya kinywe (graphite), uliofanywa na Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, katika hafla iliyofanyika Alhamisi, Oktoba 9, 2025,…
Samia asema CCM haikomoki,kufufua bandari Musoma
Na Kulwa Karedia, Jamhuri Media Musoma Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan amesema ndani ya Mkoa wa Mara kuna watu wamenuna nuna, wanachochea na kusaidia wagombea wa vyama vya upinzani ili waikomoe CCM. Rais Samia…
Wasira atahadharisha kikundi cha chokochoko kwenye mitandao
Na Mwandishi Wetu, Jamhuri Media- BUNDA MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, ametoa tahadhari kwa wananchi dhidi ya kikundi cha watu wachache wanaoleta chokochoko katika mitandao ya kijamii wanaotaka kuvuruga amani. Amesema kikundi hicho ni miongoni…
Kangi asema Rais Samia si nguvu ya soda
Mgombea ubunge wa Jimbo la Mwibara, Kangi Lugola amesema nguvu ya maendeleo inayofanwa na mgombea urais wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan si nguvu ya soda. Lugola ametoa kauli hiyo wakati akisalimia wananchi wa Jimbo la Bunda mkoani Mara wakati…
Uwekezaji wa Serikali wafikia Sh92.3 trilioni
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Uwekezaji uliofanywa na serikali ndani na nje ya nchi umeongezeka kwa asilimia 7 hadi kufikia Sh92.29 trilioni Juni 30, 2025 kutoka Sh86.3 trilioni katika mwaka wa fedha 2023/24. Uwekezaji huu wa serikali unahusisha…
ACT Wazalendo kukomesha changamoto ya migogoro ya ardhi, yawaomba wananchi wakipe ridhaa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kigoma Chama cha ACT Wazalendo kimeahidi kukomesha changamoto ya migogoro ya ardhi endapo wananchi watakipa ridhaa ya kuongoza kwa kuchagua wabunge na madiwani wa chama hicho katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu. Akifafanua wakati wa…





