Category: MCHANGANYIKO
ESEH na teknolojia mpya ya milipuko ilivyobadili sekta ya uchimbaji
Na Mwandishi Wetu, Geita ESEH Investment kampuni inayojihusisha na uuzaji wa vifaa na utoaji wa huduma za kitaalamu katika sekta ya uchimbaji imeanza kutumia teknolojia mpya za milipuko zinazolenga kuwasaidia wachimbaji kukabiliana na changamoto za mazingira na kufikia maeneo ambayo…
Mfanyabiashara maarufu wa Zimbabwe Wicknell Chivayo afariki katika ajali ya helikopta
Mfanyabiashara maarufu wa Zimbabwe Wicknell Chivayo, ambaye alikuwa akionekana mara kwa mara akiwa na baadhi ya marais wa Afrika, amefariki katika ajali ya helikopta mashariki mwa mji mkuu Harare. Vyombo vya habari vya Zimbabwe, na vile vya kimataifa ikiwemo Reuters,…
Dkt. Yonazi atembelea ubalozi wa Tanzania nchini Uturuki
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu Dkt. Jim Yonazi ameupongeza Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Uturuki kwa kuendelea kuimarisha mahusiano baina ya nchi hizo mbili katika maeneo mbalimbali ikiwemo ya kidiplomasia,…
TANESCO yashika nafasi ya pili kwa usimamizi bora wa fedha kwa taasisi za umma za biashara
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, amelikabidhi Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) tuzo ya mshindi wa pili kati ya Mashirika ya Umma ya Huduma na Biashara 306, kwa Utendaji Bora katika Usimamizi wa Fedha…
Same watakiwa kutumia mvua za El Nino kupanda miti
Na Ashrack Miraji, JamhuriMedia, Same Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Same, Yusto Mapande, amewataka wananchi na watumishi wa umma kutumia mvua zinazotarajiwa kunyesha kutokana na hali ya El NiƱo kupanda miti kwa wingi katika maeneo mbalimbali ya wilaya hiyo….
EWURA yatoa elimu kwa watendaji, viongozi Serikali ya Mtaa Tabora
Na.Mwandishi Wetu-Nzega Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya Magharibi, imekutana na Watendaji Kata na Mitaa pamoja na Wenyeviti wa Serikali za Mitaa na Vijiji wa Halmashauri ya Mji wa Nzega, leo tarehe 30 Septemba…





