Category: MCHANGANYIKO
Kagera wahimizwa kujiepusha chokochoko zinazoweza kusababisha uvunjifu wa amani
Na Theophilida Felician, JamhuriMedia, Kagera Katika kuelekea kufanyika zoezi la uchaguzi mkuu mnamo Oktoba 29, 2025 wananchi mkoani Kagera na kwingineko nchini wameaswa kutokujihusisha na mambo yenye viashiria vya uvunjifu wa amani ili kuepukana na vurugu zinazoweza kuhatarisha usalama nchini….
Miradi ya kusambaza umeme vitongojini kukamilika ifikapo 2030
📌Huduma ya umeme kwenye vitongoji yafikia asilimia 58📌Majiko banifu 200,000 kuuzwa kwa ruzuku ya 80% hadi 85% Tanzania bara📌Mitungi ya gesi 452,455 ya kilo 6 kuuzwa kwa ruzuku ya 50%📌Mifumo 20,000 ya umeme jua kufungwa kwa wakazi maeneo ya visiwani📌Serikali…
Kihongosi : Msikubali vijana kuingizwa kuingizwa mkenge
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Kenani Kihongosi, ametoa wito kwa Vijana wote nchini kutokubali kuingizwa mkenge na baadhi ya watu wasio na uzalendo wa Taifa letu wala kujali utu wenye…
Comoro yafurahishwa na upendo wa madaktari bingwa Watanzania
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam RAIS wa Umoja wa Visiwa vya Comoro, Kanali Azali Assoumani, ameongoza msafara wa viongozi waandamizi wa Serikali ya Comoro kutembelea Kambi Maalumu ya Matibabu ya Kibingwa inayoendelea katika Hospitali ya Hombo, kisiwani Anjouan….
Afungwa miaka 30 kwa kosa la kulawiti
Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Nzega Mkoani Tabora imemhukumu kifungo cha miaka 30, Boniface Matale (30), mkulima na mkazi wa Kata ya Mbagwa wilayani humo, baada ya kupatikana na Hatia ya kumlawiti kijana mwenye…
Wanufaika wa mitaji ya Cookfund wahimizwa kuwekeza katika mitungi midogo ya gesi
📌 Ni mitungi ya kilo tatu au chini ya kilo tatu 📌 Lengo ni kuwezesha wananchi wa kipato cha chini kumudu gharama 📌 Wasisitizwa matumizi ya Mita janja (smart meters) ili kuwezesha wananchi kununua gesi kama LUKU. Wanufaika wa mitaji…





