JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Siasa

Rais Magufuli Amteua Alphayo Kidata Kuwa Balozi

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemteua aliyekuwa Katibu Mkuu Ikulu, Bw. Alphayo Kidata kuwa Balozi, pia amemteua Meja Jenerali Mstaafu Simon Mumwi kuwa Balozi.

Moto Waibuka Jengo la Benki Kuu Mwanza

Moto umezuka katika jengo la Benki Kuu jijini Mwanza leo Alhamisi, Januari 11, 2018 asubuhi. Chanzo cha moto huo kinaelezwa kuwa ni shoti ya umeme. Endelea kufuatilia mitandao yetu kwa taarifa zaidi.

BOFYA HAPA KUONA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI NA DARASA LA NNE 2017/2018

BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mitihani ya upimaji wa darasa nne na kidato cha pili iliyofanyika Novemba mwaka jana, huku idadi kubwa ya wanafunzi wakifaulu vizuri katika mitihani hiyo.   Akitangaza matokeo hayo leo Jumatatu, Januari 8,…

WANANCHI WAHAMASISHWA KUCHANGIA DAMU SALAMA

Nesi kutoka Mpango wa  Taifa ya Benki wa damu salama Catherine Kiure akimuhudia moja ya wahamasishaji wa uchangiaji damu Prosper Magali wakati wa uchangiaji damu unaoendelea katika Enep la Ubungo Plaza Jijini Dar es Salaam. Wananchi wakiwa wamejitokeza kuchangia damu…

VIONGOZI MBALIMBALI WALIVYOJITOKEZA KWENYE MAZISHI YA MKE WA KINGUNGE

 Jeneza lenye mwili wa Marehemu Mama Peras Ngombale Mwiru, Mke wa Mmoja waasisi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mzee Kingunge Ngomale Mwiru ukiwasili nyumbani tayari kwa ibada maalum ya maombolezo, iliyofanyika jioni ya leo.  Huzuni ilitawala pale mwili wa Marehemu…

DKT.SHEIN AZINDUA SOKO LA KINYASINI

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,  Mhe.Dkt. Ali Mohamed Shein akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Soko jipya la Kinyasini lililojengwa na Programu ya Miundo Mbinu ya Masoko, Uongezaji Thamani na Huduma za Kifedha Vijijini (MIVARF) chini ya…