Category: Siasa
Korti Kuu yahukumu, RC Mulongo apinga
Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza kitengo cha Ardhi imetoa uamuzi wa kubomolewa jengo la biashara lililopo mbele ya kiwanja Na 14 kitalu E Nyegezi kilichopo maeneo ya Mkolani eneo ambalo limetengwa na Halmashauri ya Jiji la Mwanza kwa ajili ya…
Wakenya wavamia Tanzania
Mamia ya raia wa Kenya wanaishi kinyemela katika kata za Tarafa ya Loliondo, Ngorongoro mkoani Arusha. JAMHURI imeendesha uchunguzi kwa wiki kadhaa sasa na kupata majina zaidi ya 280 ya Wakenya wanaoishi Ngorongoro, hasa katika Tarafa ya Loliondo. Orodha hiyo…
Ripoti yabaini madudu zaidi TRL
Ripoti ya awali kuhusu uchunguzi wa mchakato wa ununuzi wa mabehewa mabovu uliofanywa na Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), imebaini kuwa menejimenti ya kampuni hiyo haikuwa makini kushughulikia maombi ya kuongezewa muda, yaliyowasilishwa na Kampuni ya Hindusthan Engineering and Industries Limited…
Magaidi: Mufti atoa agizo kali
Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Bin Shaaban Simba, amevitaka vyombo vya dola kufuatilia kwa makini baadhi ya misikiti inayodaiwa kutumiwa na baadhi ya waumini wake kufanya mazoezi nyakati za usiku. Akizungumza na JAMHURI katika mahojiano maalum yaliyofanyika hivi karibuni,…
Kipande ang’olewa rasmi Bandari
Aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari, Madeni Kipande, ameng’olewa rasmi katika wadhifa huo baada ya uchunguzi wa Serikali kubaini kuwa hana sifa za kuongoza Bandari. Kwa mujibu wa Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta, Kipande amekuwa…
ACT kimbunga
Kumekuwapo mikutano ya siri inayowahusisha viongozi waandamizi wa Chama cha ACT-Wazalendo na baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambao hawana hakika kama watatendewa haki wakati wa kupitishwa kwa majina ya wagombea urais. Mazungumzo hayo yamelenga kufungua njia kwa…