JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Siasa

Sadifa asema Samia, Mwinyi wanastahili kuendelea kuongoza

Na Kulwa Karedia , Jamhuri Media,Unguja Mwenyekiti mstaafu wa Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) na mgombea ubunge Jimbo la Donge, Sadifa Juma Khamis, amesema wagombea urais wa Chama Cha Mapinduzi,(CCM) Samia Suluhu Hassan na Dk Hussein Mwinyi…

Mgombea urais AAFP aahidi kuwachapa viboko wanaokula rushwa, aahidi kuwepo kwa uzalendo

Mgombea Urais kupitia cha cha wakulima AAFP Kunje Ngombalemwilu amesema pindi atakapopata ridhaa ya kuongoza nchi atahakikisha anajenga madarasa kwa ajili ya kufundisha uzalendo na maadili ambapo elimu hiyo itatolewa na wastaafu nchini. Hayo ameyasema leo jijini Dar es Salaam…

Dk Migiro asema mafanikio ya Samia,Dk Mwinyi yamengwa na 4R

Na Mwandishi Wetu, Jamhuri Media,Zanzibar Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Asha-Rose Migiro, amesema mafanikio ya Rais Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi, yamejengwa juu ya misingi imara ya falsafa ya R4, ambayo…

Samia atema cheche Zbar

Na Kulwa Karedia,JamhuriMedia-Zanzibar Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Samia Suluhu Hassan amesema muungano wa Tanngayika na Zanzibar umeimarika zaidi tofauti na miaka yote. Amesema Muungano huo sasa na udugu wa damu, huku akiwanyo wale wote ambao wamejipanga…

Uyovu wamkubali Dk Samia, kumpigia kura nyingi Oktoba 29

 Dkt. Biteko kuifanya Uyovu kuwa kitovu cha biashara Bukombe Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bukombe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Doto Mashaka Biteko amesema kuwa mgombe Urais kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameiwezesha Kata ya Uyovu kimaendeleo hivyo…